Social Icons

Pages

Monday, 6 December 2010

hurry redknapp kuwania kuinoa england

shirikisho la soka nchini uingereza(FA),limekiri kupokea maombi  ya kocha wa tottenham harry redknapp kutaka kuinoa england baada ya kocha wa sasa fabio cappelo atakapomaliza mkatabawake.na kusema kuwa redknapp anaweza kuwa kocha wa england

0 comments:

Post a Comment