Monday, 6 December 2010
SNEIJDER ATUPWA NJE KUWANIA TUZO YA BALLON D OR
mshambuliaji wa timu ya taifa ya netherland na klabu ya inter-milan wesley sneijder ameondoshwa kwenye list ya watu watatu itakayo wania tuzo hiyo.wachezaji waliochaguliwa kuwania tuzo hiyo hatua ya tatubora ni lionel messi,andrey iniesta na xavi wote wachezaji wa klabu ya barcelona.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment