|
blackpool
|
mechi kati ya mashetani wekundu na blackpool yaahirishwa kwasababu ya barafu kali kufunika uwanja wa timu ya blackpool uwanja huo ulikaguliwa na refaree peter walton siku ya ijumaa nakulazimika kuahilisha pambano hilo lililotarajiwa kupigwa nyakati za usiku leo j-mosi tarehe 4 dec
Kaka jaribu ku update blog yako,nimeipenda!!
ReplyDelete