Monday, 6 December 2010
arsene wenger amfungulia mlango wa kutokea manuel almunia
kocha wa arsenal arsene wenger amemuonyesha kipa wa timu hiyo manuel almunia mlango wa kutokea,kocha huyo amemruhusu almunia kutafuta timu lakini atletiko madrid imeonyesha nia ya kumnyakua kipa huyo.wenger anataka pound 1.5m tu ilikumngoa kipa huyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment