Social Icons

Pages

Saturday, 4 December 2010

manchester united imeandaa kitita cha pound 16.5m kumnasa kiungo mjerumani

manchester united ipoteari kutoa kitita cha pound 16.5m kwaajili ya kumnasa winga wa welderbremen ya ujerumani marko marini(messi wa ujerumani).kocha sir alex fergueson amesema"nikotayari kupambana na klabu yoyote itakayotaka kumuwania mchezaji huyu"amesema sir alex  fergueson.timu nyingine zilizo onyeshania ya kutaka kumnyakua marini ni arsenal,liverpool na tottnham zote za uingereza.
chanzo-goal.com

0 comments:

Post a Comment