Sunday, 5 December 2010
CHELSEA yakabwa koo,drogba aondoa ukame wa magoli
mabingwa watetezi wa ligi kuu uingereza(chelsea) hapo jana walikabwa koo na everton baada ya kuazimishwa sare ya 1-1.bao la chelsea lilifungwa na mshambuliaji nguli wa ivory coast didier drogba na baadae everton kusawazisha dakika ya 85 yamchezo.pichani bosingwa wa chelsea na steven piner wa everton.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment