Sunday, 5 December 2010
real madrid yatoadozi.ronaldo aendelea kucheka na nyavu.
baada ya kipigo kutoka kwa barca,real madrid imeendeleza ubabewake kwa kuivurumisha timu ya valencia mabao2-0,mabao hayo yakitumbukizqa kimiani na winga mreno cristiano ronaldo.
CHELSEA yakabwa koo,drogba aondoa ukame wa magoli
mabingwa watetezi wa ligi kuu uingereza(chelsea) hapo jana walikabwa koo na everton baada ya kuazimishwa sare ya 1-1.bao la chelsea lilifungwa na mshambuliaji nguli wa ivory coast didier drogba na baadae everton kusawazisha dakika ya 85 yamchezo.pichani bosingwa wa chelsea na steven piner wa everton.
ARSENAL kileleni uingereza,nasri aiua fulham
jana ilikuwa siku nzuri kwa arsenal kukalia msukani wa ligi kuu uingereza baada ya kuisambalatisha fulham kwa jumla ya mabao 2-1,mabao ya arsenal yalitiwa kimiani na kiungo wao machachari samir nasri,wakwamza kushoto.
Saturday, 4 December 2010
manchester united imeandaa kitita cha pound 16.5m kumnasa kiungo mjerumani
manchester united ipoteari kutoa kitita cha pound 16.5m kwaajili ya kumnasa winga wa welderbremen ya ujerumani marko marini(messi wa ujerumani).kocha sir alex fergueson amesema"nikotayari kupambana na klabu yoyote itakayotaka kumuwania mchezaji huyu"amesema sir alex fergueson.timu nyingine zilizo onyeshania ya kutaka kumnyakua marini ni arsenal,liverpool na tottnham zote za uingereza.
chanzo-goal.com
chanzo-goal.com
man city yajiandaa kumnyakua galeth bale
manchester city imeandaa dau la shilingi paun 45m kwaajili ya kumnasa kiungo wa tottenham galeth bale.abali hiyo ilitolewa na mmoja wa maofisa wa juu wa timu ya man city.lakini uongozi wa tottenham umesema kwamba bale haenditimu yoyote.
chanzo-goal.com.
chanzo-goal.com.
mechi kati ya manchester na blackpool ya ahirishwa.
Friday, 3 December 2010
Subscribe to:
Posts (Atom)